hii hoja tungeiangalia kwa makina kwa sababu uchumi wa nchi hizi mbili ni tofauti mtu anaweza akatoka na shilinhi million moja ya kenya akaja kufungua fursa kubwa kulingana na ukubwa wa elahiyo katika nchi yetu na mtanzania akatoka na Tzs 1Ml na akashindwa ku acquire fursa kubwa tanzania...
Leo niwape stor moja true kabisa,
Niliishi na mwanamke kwa miaka mitatu na mara zote akinionyesha wivu wa hali ya juu ilikua sio poa mtu wangu, yaan ilikua nikitoka kidogo kashadaka simu yangu kashatoa passwedi na ilikua kila nikibadilisha alikua anaijua , ijui alikua mchawi.
Miaka yote alikua...
nimepitia comments zote nimekuja kuona kutofautoiana kimtazamo kunaweza kumfanya mmoja amuone mwenzake fara, hii imetokana na watu kua na uzoefu na taarifa tofauti juu ya jambo furan.
nataka kusema hakuna sheria inamtaka mtoto lazima atoke nyumbani akiwa na umri fulani, biblia imeelezq kuondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.