Tunapofanya upembuzi kwa ushabiki kuna hatari ya kufikia maamuzi/hitimisho zisizo sahihi. Huyu mama aliulizwa swali moja la msingi sana..."Ukiwa na PHD ya Hesabu, na kwa kutambua kuwa hesabu ni ugonjwa wa taifa, ya nini uamue kugombea ubunge na si kutumia elimu yako kutibu ugonjwa huu wa taifa...
Moja, ni ombi: Naomba kwa anayejua vigezo vitakiwavyo ili uchaguliwe kwenye tume anisaidie kuvijua.
Mbili: Mtazamo wangu mdogo unanionesha jinsi ambavyo kuna hatari ya kila mwamba ngoma akavutia ngozi kwake. Hii ni hatari kwa sababu hatutaona mambo ya msingi kwa maslahi ya taifa katika mtizamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.