Recent content by B the Don

  1. B

    Pili pili na tangawizi...!

    nimekuelewa mzizimkavu yaani umenifumbua macho sizan sasa kama nitaiyogopa teana pilipili... Asante sana...
  2. B

    Pili pili na tangawizi...!

    navyosikia kula pilipili kwa wingi au mara kwa mara kwa mda mrefu husababisha ilo tatizo ila cjatafiti zats why nimepost kwenye ili jukwaa....!
  3. B

    Pili pili na tangawizi...!

    tunakusubiri mzizimkavu Utoe hitimisho....!
  4. B

    Pili pili na tangawizi...!

    Happy easter jaman.....! Kulingana na maneno ya watu wanasema pilipili inapunguza nguvu za kiume, imani yangu inanifanya niamini maana ukila pilipili halafu kama ni mwana riadha ni lazima utakuwa unachoka mapema.. Vip kuhusu TANGAWIZI ina effect hizo hizo.....! na inafaida gan mwilini?
  5. B

    Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    angalia interest yako then toa maamuz ila... Kwa ulimwengu wa sasa ningekushauri soma CBG coz inafaida kubwa sana coz nyingi sana waweza soma hapo baadae maana uatasoma geography ambayo itakupeleka kwenye course ambazo mwenye EGM anaenda na makoz mengne mengi kwa upande wa art... Ila kuna izo...
  6. B

    Nitajieni vyuo vya kusomea u-nurse

    haaa..! Huyo hawez chukua diploma wala certificate coz sasa iv ili uchukue diploma ni lazima uwe na ufaulu wa kuanzia D, kwenye physics, Biology, Chemistry... Bila ivyo kujiunga na diploma ni ngumu labda kwa njia ya panya ktkt vyuo vya private, ila kuna pia kama umekosa physics waweza chukua...
  7. B

    Ni elimu pia...

    Mi ni mwanachuo mwaka wa kwanza na shida ya kujua kati ya laptop aina izi yopi unanishauri nichukue kulingana na uzuii wake HP, TOSHIBA, DELL, ALCER. Samahanin kwa usumbufu wana Jf.
  8. B

    msaada wakuju hili

    iv kama unabachelor ya nursing unaweza kuingia MD?
  9. B

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Tupia chochote unachofaham kuhusu ubora na mapungufu yake kwa elim inayotolewa IMTU chuo cha afya.
Back
Top Bottom