Mi pia nilisoma hio, waweza kuwa mhariri wa miswada na makala mbalimbali, mtayarishaji wa kamusi, mkalimani na mtafsiri wa lugha(hutegemea utasoma lugha gani kati ya kifatansa, kiswahili, na kingereza) pia waweza kuwa mkufunzi wa masomo ya mawasiliano kama ukihitimu na GPA kubwa