Recent content by AZZY

  1. A

    I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

    ww ndo unaniona mwehu...ckuweza kumpanga daktari kwasbb ckujua kama angechunguza kwa kiwango hiki lol! nimepata bonge la lesson yani
  2. A

    I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

    NAWASHUKURUNI NYOTE KWA USHAURI WENU NOW NAENDELEA POA NA HUYU MAN WANGU, nimeconfess amenielewa... now mapenzi ni zaidi ya awali, nitarudi tena kuwahabarisha tarehe ya harusi lolest..najiona ka nimezaliwa upya yani
  3. A

    I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

    cdhani kama kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid...
  4. A

    I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

    thnx Kaunga unajua most of times kwny r/shps watu hawakiri how deep they've fallen 4 their partners/lovers labda kwakuogopa kuumizwa or being let down, hiyo ndo iliyotokea kati yetu. Najua ananipenda much but he never admit it kutokana na his past love history, nami pia nampenda mno but again...
  5. A

    Wadada wa jf kuweni makini na avatar mnazoziweka.....

    ndo unatakiwa kulower matarajio yako juu ya sura/umbo la huyo mwenye avatar feki ili usiwe disappointed lol
  6. A

    I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

    I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest) sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla...
  7. A

    hello

    I'm Azfah from upcountry would like introducing to u guyz. Thanx!
Back
Top Bottom