Recent content by Azniv Protingas

  1. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Scanner za nCard katika Vivuko vya Azam Marine – Kivukoni Ferry

    Habari wana JamiiForums, Ningependa kuibua changamoto niliyokutana nayo katika matumizi ya nCard kwenye vivuko vya Azam Marine, eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam. Nilikuwa nimeweka salio la TSh 1,000 kwenye nCard yangu. Nilipofika kwenye scanner, nilimskania ndugu yangu na akaweza kuvuka...
  2. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Kero kwa Waombaji wa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

    Ndio, ila sio vyuo vyote wanakubali foundation course, na kuna course haiwezekani kusoma kama za afya na engineering.
  3. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Kero kwa Waombaji wa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

    Nataka nisome foundation course ili niweze kuendelea na degree
  4. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania TPDC: Gesi ya Mitungi tunayotumia Nyumbani kwasasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani

    Ya mtwara ndio hii inayotumika kwenye vyombo vya usafiri kama bajaji, ndio maana ukakuta bei ipo chini kama 1700 kwa kilo
  5. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka zifuatulie kuna ongezeko la matukio ya wizi, ukabaji Buguruni Rozana na mitaa ya jirani

    Buguruni wizi sijui uitaisha lini, hivi karibuni kuna mtu alikuwa anaenda msikitini asubuhi wakamuibia simu. Zamani kulikuwa na ulinzi shirikishi lakini hivi sasa sijui wamepotelea wapi japokuwa nao walikuwa wanahusishwa na uwizi, sababu ndani ya haohao walinzi kulikuwa na wezi
  6. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Kero kwa Waombaji wa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

    Nimekutana na changamoto wakati wa kujaribu kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), na jambo ambalo limenipa kero zaidi ni kukosa msaada kupitia njia rasmi za mawasiliano zilizowekwa na chuo. Nimejaribu kupiga namba za simu zilizowekwa kwenye tovuti yao kwa ajili ya masuala ya...
  7. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  8. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

    Dawa dabur ya karafuu basi
  9. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Zanzibar hapana!! Wanapenda kwenda Mahakamani

    Sidhani kama ni roho mbaya, ni bora hivo kupelekana mahakamani kuliko kusikia mara huyu kamuua yule, kamchoma kisu huyu. Na haya matukio ya kuuana yanatokea sana huku bara kwetu, sasa sijui kati ya kwenda mahakamani na kumtoa mtu uhai kipi bora.
  10. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Mafuta yatoke Uganda yakasafishwe Ufaransa na Sio Tanzania kisha yaende nje?

    Kumbe, niliona post moja wanigeria wanalalamika iweje waimport mafuta wakati wana mafuta kwenye nchi yao. Na kwa nn hayo mafuta yanayosafishwa ndani ya nchi yao yanauzwa kwenye nchi nyingine lakini si Nigeria.
  11. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Sidhani kama imani ya mtu ina nafasi kwenye kuleta maendeleo ya wananchi, hata hivyo serikali ina viongozi wenye imani tofauti. Kwa hiyo hatuwezi kulaumu imani ya kiongozi
  12. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Similiki hata tyre ya baiskeli lakini kusema kwamba wanapata pesa nyingi ndio iwe sababu ya kutochukua nauli sahihi kisa uzembe wa serikali.
  13. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Sidhani kwamba hawataki kutoa chenji, ila ni ukosefu wa chenji. Imefikia sasa chenji imekuwa ni biashara ya baadhi ya watu, sijajua kama wao ndio wanazishikilia pesa kiasi kwamba hazipo kwenye mzunguko. Hata ukienda benki kuomba chenji hawana
  14. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Kwenye nchi nyingine hakuna gharama za kulipa kwa simu, ni bure kabisa na unakuta wafanyabiashara wengi hadi wadogo wana lipa namba. Unascan maisha yanaendelea
  15. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Sio siku moja lakini naona hali inazidi kuwa mbaya, unaenda magenge zaidi ya matatu wote hawana chenji, watafanya vipi biashara kwa hali hii.
Back
Top Bottom