Mwenye bahati aliyepangiwa na Mungu kupata nafasi ya kujiunga na Jeshi atajiunga haijalishi una mbuyu au huna kikubwa Muombe sana Mungu wako lia nae kwa imani yako hakuna linaloshindikana kwake, na ukikosa nafasi mshukuru Mungu pia jua hajakupangia kwa wakati huu fanya mambo mengine jitunze...
Cha kwanza kabisa walioiba ni mafundi wako na cha pili msidanganyane eti Ilazo is safe Mimi nipo hii Ilazo ya Martin yani usalama wa Ilazo sasa hivi ni kila nyumba inaweka uzio wa umeme la sivyo Ilazo wanatembea kikundi wanaiba mtaa kwa mtaa
Niamini mimi huyo manzi ipo siku atakutafuta tena hata akiwa ndani ya familia yake na atajutia sana alichokufanyia karma is realy itamtesa sana hiyo ishi maisha yako tu ila ipo siku hutaamini atakavyojiliza
Source: Trust Me
Ipo hivi kupambana na usaili tu na kutuma maombi ni jitihada tosha na Mungu anakuona kuwa na imani thabit unatoboa huo mbuyu ni ziada tu utahonga hata mil 5 na ikaliwa na usifikie ulipotamani kufika
Kwa ushauri wangu msitoe milion 2 au 3 kisa usaidiwe kupata ajira hiyo pesa ni zaid ya kubet kama unefanikiwa kupata hiyo pesa kaa chini tuliza kichwa anza biashara kidogo kidogo utafika pale unataka kufika, unapenda majeshi tuma maombi mlilie Mungu wako kama ni yako ni yako tu uwezo wa Mungu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.