Habari JF.
Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Habari jf.
Nahitaji kiwanja maeneo ya madale D'salaam. Bajeti yangu ni milioni 4.5. Mwenye kuwa nacho aseme kina ukubwa gani pia aweke mawasiliano yake. Sihitaji maeneo ya mabondeni na sihitaji kiwanja chenye mgogoro wa aina yeyote.
Sehemu zingine pia naweza kununua kama si mbali sana na mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.