Wadau kwema naomba kupata list ya vifaa vinavyotumika katika maabara ya Fizikia kidato cha Sita kwani ninataka kufungua maabara ya somo hilo !
Ahsanteni wadau
Kiwanja kina hatua Ishirini kwa Ishirini! Kipo barabarani kinafaa kwa biashara au makazi! Umeme upo hapo na maji yapo! Bei maelewano sitaki Dalali . Tel 0755 272776:embarassed2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.