Kitu cha uasi si vema kukielezea in public kwasababu itakuwa naweka ushuhuda. Kwahivyo mkuu nishauri namna ya kuacha tabia mbovu zenye kuitokomeza nafsi kwenye kiza kinene
Wanachama wenzangu habari yenu, niko jambo linanitatiza hivyo nikapendelea nililete kwenu kwasababu hii ni kawaida na ndio dhumuni ya mtandao huu (JF), kushauriana pamoja kupeana hamasa katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo sikujihisi mpweke nikawa na imani kwamba hili tatizo langu nawezq...
Asante.. Hizo nimeshaacha takribani mwaka umeshapita and kuhusu usingizi napata vizuri tu na pia hii ni kitu inanistajabisha maana kama tatizo la kiakili lingekuwepo ningekosa usingizi kama nilivyokuwa awali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.