Asee Hawa jamaa ni shidaaaaaa asikwambie mtu. Tafadhari usije kumshauri hata nduguyo rafiki jirani au awaye yeyote kuingia kwa Hawa jamaaaa. Hawafaiiiii in deed. Walichonifanyia sitasahau
tunakwenda wapi Tanzania? kwann hatukubali kushindwa? kwann tuige mambo ya kimagharibi? kwann siasa itufanye tuwe maadui? kwann haya hayakutokea enzi za mwalimu yanatokea sasa? Hii ni aibu tena aibu kubwa kwa uchaguzi mdogo tena wa madiwani!!!!! shame on those.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.