Recent content by ayoub mkalifya

  1. A

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Kwa Muhongo umekosea sana mh. Rais ni kuwadharilisha watanzania
  2. A

    Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Mama kanyaga kila anapotoka Samia uko juu sana hakuna wale machangu wa mama ongea na mwanao
  3. A

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Mnunulieni na Makufuli wenu avae mabadiliko ndiyo msimamo wa watz
  4. A

    William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

    Lukuvi ni tapeli wa ki siasa siku zote za uchaguzi wa awali huwa haonyeshi yuko na nani ni mviziaji mzuri sana. Pamoja na kuwa na kasoro kwenye elimu yake anafaa kuwa PM.
  5. A

    Magufuli: Uongozi wa kisiasa sio wa kuhusisha familia nzima

    Kwa kweli kwa msimamo huo na kama atalitekeleza kwa dhati atakuwa ni Rais wa mfano kwa kizazi kijacho big up Magufuli
  6. A

    CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

    Nafikiri baada ya kupitishwa leo EL atambulishwe mikoani na huko azungumze yeye mwenyewe na hotuba zake zisiguse swala la Slaa.
  7. A

    Mwenge-Tegeta Road: Poorly designed, poorly constructed! Nani awajibike?

    Kwa kweli inasikitisha sana kuhusu mtaalamu aliye chora na kupitisha ramani ya barabara inayoanzia mwenge mpaka Tegeta. Wengi wa watumiaji tunapata taabu sana tunapotaka kuingia barabara za pembezoni. Mara nyingi tumejikuta tukiwa katika hatari ya kugongwa kwa nyuma ya magari yetu kwa ukosefu...
Back
Top Bottom