Recent content by aymanibrahim

  1. aymanibrahim

    JamiiForums Tanzania Diallo amesema hawezi kuwalaumu TRA kwa Kufunga shughuli za Sahara Media

    Tunaomba uthibitisho wa furaha yao? Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  2. aymanibrahim

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Hilo sio bunge tena bali ni katiba mpya. Na ni wabunge wapi watakao liomba hilo? Ni hawa wa ccm waliopitisha hizo sheria au ni wapi?
  3. aymanibrahim

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Raisi ndo atafute njia sahihi au Lisu? Mmezoea kudanganywadanganywa mkiambiwa ukweli mnaona watu hawawatakii mema but rejea tu kwenye ile kesi ya samaki ndo utajua anamaanisha nini
  4. aymanibrahim

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Kwaio kina bob na 2pac ni wangese? Mbona hujui hii sanaa
  5. aymanibrahim

    JamiiForums Tanzania E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Na wewe inakuuma nini?
Back
Top Bottom