Jamani mpaka Hilo gari linatengenezwa hafkiri kwamba hicho hakuwa considered? Na ac za gari Zina ventilators ambazo zinavuta na kutoa hewa ndani ya gari. Hakuna tofauti kubwa ya hewa na hewa ya dirishani. Hii Dunia imesonga sana kiasi kuvumbua kitu kipya inabidi utafakari sana, SI kiraisi
Hata ueleweshe vipi ma bumunda hawezi kuelewa. Inatia huruma mtu mweusi anajiona akitetea race nyingine anajiona yeye ni tofauti kati ya weusi wenzake wakati kwenye macho ya watu wenye race tofauti Hawa tofautishi. Kama mtu mweupe anukuona wewe ni nyani hawezi kumshari kuwa dini inafanana na...
Braza mi mkristo mimi sio muislamu mbona unajiabishaa. Hao mateka wako ni proportionate na wapalestina wanaokufa kila siku. Nikibishana na wewe nikamaa napoteza muda maana wewe ni myopic hata huelewi unachokiongea. Una maana nikiteka ndugu yako mmoja wewe unaruhusa kuuwa ndugu Zangu 1000. By the...
We Ma'ngaa katika hizo link umeona ya UN tu, wewe una ugonjwa unaitwa selective attention. Akili ina madudu hata uoneshwe vipi vitu still akili ya ita arrive kwenye madudu yako ya kichwani. Issue hapa ilikuwa Gaza Kuna njaa ama hakuna, hata hujaelewa ulicho-post, what a waste. By the way sisi...
Hivi wewe uko Dunia gani. Yani mtu ukisoma comment za habari za kimataifa kama hizi. Ndio unakuja kujua kama sisi wabongo ni mapunguani na hatuna aibu kuonesha ujinga wetu. Instead ya ku-comment vitu usivyo vielewa, kaa chini soma kwanza upate uelewa then u-comment. Yani leo Dunia nzima...
Kulea mto hivyo sio uzungu ni upumbavu, kama ungekuwa unafaham ulaya Familia zinaishi bila wafanyakazi kutokana ni ghali kuajiri wafanyakazi wa ndani kwahiyo watoto wanjofunza majukumu wakiwa wadogo sana kuliko huku Africa vilevile nikitu cha kawaida watoto kuwa wanafanya kazi part time wakiwa...
Hivi watanzania mbona sisi wajuaji sana, kwenye vitu visiokuwa na msingi. Habari ya huyu mtu iko very straightforward lakini bado wabongo wanataka kutengeneza narratives mpya. Mtu anatoa story source inakuwa yeye wakati tukio limetokea India hiking si kituko
Acha matusi nataka nikupe kazi unateseka wewe, kichwa imearibika nataka nitumie hizo nguvu zako za mtandaoni kwa faida, muulize mu-isreal wako kwani anasemaje? kuhusu kupewa kazi, itawaongezea kipato hapo kwenye hicho kibanda mnacho ishi.
Matusi ya nini, kukosa kazi sio maradhi, wewe ukiamka kesho aanza kutafuta kazi ukipata tuone kama utashinda tena mitandaoni tena, mimi nakuombea upate kazi angalua akili itarudi 🤲🤲
Waliolewa ndio hawanaga kazi kama wewe kushinda kwenye mitandaoni siku nzima kuandika uupuzi, angalia nani anandika vitu vya kipuuzi mtandaoni, unajisahau mpaka unajisema mwenyewe, haya nijibu this time Andika kitabu na bando lako unlimited. Yani the fact unashinda mitandaoni inkuelezea wewe ni...
Unajiteteaaa hapo umeonaa umeandikaa vitu vya maana, achaa kujipendekeza utafanywa mbaya. Eti nimeandaa Isreal so what! Tafuta ajira lasivyo utabika kuwa maskini kama ulivyo. Jikwamue kimaisha acha ujinga. Sina muda wa kuandika sana kwasababu na vitu vya maana vya kufanya, haya nijibu tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.