Kweli wanaume humu jf wengi ni waongo na hawako serious kabisa wanataka kufanya sex tu. Na wengine wameshaoa na kuenda kukutana nao ukakataa kufanya nao sex ndo biashara imeishia hapo sitaki hata kusikia mie kutafuta mchumba jf
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaonya wanaume wanaoleta mambo ya utani katika sehemu hii muhimu. Binafsi sijapenda kabisa na tabia yenu mnayoionyesha kwa wanawake/wadada. Kama hamna nia ya kutafuta wanawake mkae kimya, sio kuleta utani jamani. Pili kama umeonana na mwanamke then ukaona hana sifa...
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata...
Mimi nina miaka 32, elimu ya juu, sina mtoto, na sijawahi olewa. Ni mwajiriwa. Naishi kibaha. sifa za nimtakae awe na umri kuanzia miaka 32 mpaka 45, mkristo. Awe mwajiriwa/mjasiriamali. Awe tayari kupima ukimwi. Asiwe na mtoto lakini mwenye mtoto mmoja nitamfikiria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.