Recent content by AVIC3NNA

  1. AVIC3NNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swahili Programming Terminologies

    Habari, Katika jitihada za kufanya Nuru (lugha ya kiprogramu ya Kiswahili) iwe rahisi kutumika, tungependa maoni yenu katika kupendekeza misamiati za programu (programming terminologies) tutakazotumia katika lugha ya Nuru. Tunaomba ufanye maneno utayopendekeza kuwa mafupi na rahisi kuelewa...
  2. AVIC3NNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania About Nuru, A Swahili Programming Language

    This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language. Background This language is the direct child of a programming language called "Monkey Language" made by Thorston Ball. He...
  3. AVIC3NNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru, lugha ya programu ya Kiswahili

    Pamoja
  4. AVIC3NNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru, lugha ya programu ya Kiswahili

    Google "Nuru Programming Language" au "Nuru Swahili Programming Language", utaona official website. Ningeandika link ila haziruhusiwi.
  5. AVIC3NNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru, lugha ya programu ya Kiswahili

    Nuru ni lugha ya programu ya Kiswahili. Inafanana na lugha zingine kama python na javascript, tofauti ikiwa imetengezwa kwa Kiswahili. Lugha hii imetengenezwa ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujifunza kwa urahisi dhana za programu (programming concepts) licha ya kutojua Kiingereza...
Back
Top Bottom