Ni wa kike......akili yake yani yuko normal na uelewa wake wa mqmbo ya kawaida iko vizuri tatizo lipo kweny masomo tu labda nifanye evaluation ya kipaji chake
Ndugu zangu wana JF nina mdogo wangu alipata shida ya meningitis pindi alipokua mdogo lakini inaonekana kua ugonjwa huu ulihathiri mfumo wake wa uongeaji akiongea maneno yake ni kama hayaelewiki kwa wepesi.
Kwa kulitambua hilo tuliamua kumpeleka shule ya mahitaji maalum lakini cha ajabu mpaka...
Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo
Kuna jambo linanitatiza sana.
Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la kukaa tu nyumbani linanitatiza sana nimekua nikiwaza bila kupata majibu sahihi.
Ningetamani sana...
Hawezi pata sasa ivi hata ioo nursing ambao naona watu wanaibeza kuipata ni shida kuna jamaa angu ana div one ya nane hajapata hata ioo nursing meingine alikosa chuo cha serikali mwaka jana alibahatisha mwaka huu na kupata nursing yy alikau na one ya saba
KAMA ZINAMTISHA VIZURI AKASOME CO AF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.