Recent content by Augostino

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

    Umasikini ni nini? Masikini ni nani? Utajiri ni nini? Tajiri ni nani? Msingi wa kuzaa ni nini?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Akili ni nini?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Neno "kuelewa" maana yake ni nini?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Nguvu ni nini?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Maneno"Nguvu ya Asili" maana yake ni nini?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Ingefaa ufafanue: Mungu ni nini? Mtu ni nini? Muujiza ni nini? Sayansi ni nini?
  7. A

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kuna tofauti ya pombe na ulevi kama ambavyo kuna tofauti ya matumizi yanayotakiwa/ustawi na matumizi yasiyotakiwa/uharibifu, sumu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Pombe si sawa sawa na ulevi. Matumizi ya dutu yoyote kinyume na inavyotakiwa ni sumu/hatari. Biblia inakataza matumizi yasiotakiwa ya dutu mbalimbali ikiwemo pombe. Ukisema pombe ni sumu unakinzana na maumbile (biology)kuwa kwenye damu kuna kiwango maalimu cha pombe.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Miaka 2000 ijayo kutakuwa na nini?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Tafakari kuhusu hii hoja yako. Katika mfumo wetu wa jua, au ulimwengu kwa ujumla unafikiri haiwezekani hakuna uhusiano, kwa mfano kati ya kitu kimoja na kitu kingine, sayari moja na nyingine au galaksi moja na nyingine?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Jambo linaweza kuwepo au kutokuwepo si kwa sababu linafikirika au halifikiriki; au kama ulivyoorodhesha hapo juu. Bali maarifa ndio hututhibitishia ikiwa jambo hilo lipo - ni ukweli au halipo- ni uongo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Kuhusu Mungu ni nini au neno Mungu maana yake ni nini? Nakubaliana na maana ya Katekisimu ya Kanisa Katoliki, ambayo imeeleza maana ya Mungu kuwa ni neno tunaloita "Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili".
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Ye yote makini atajiuliza: kwa nini au sababu gani zinazofanya mtu aseme kuna Mungu? Pia mtu anapoita neno Mungu ana maanisha nini? Na je, sababu za haya yote ni nini: ni ulimwengu umetoka wapi na unaenda wapi?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Kwako: Ujuzi maana yake ni nini? Uwezo maana yake ni nini? Upendo maana yake ni nini?
Back
Top Bottom