Recent content by Auditor_07

  1. Auditor_07

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ikukupendeza wataje... vifungu ni hivyohivyo bandungu wanavitumia mbona kuwataja wengine 😅
  2. Auditor_07

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na bado watu wame-like ujinga wako😬😬😬
  3. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Ka kabisa mkuu🙏🏽 Bora uliwastua mapema sana, still bado wengi hawajazingatia. Kazi ipo, hii nayo ni moja ya interview
  4. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Aisee, pole!! Ila ni mawazo yangu, bad luck ni kwamba wame bold kabisa kuonyesha msisitizo. Ila kwa imani, isiwakatishe tamaa endelea kupiga msuri!! huwezi jua coz hawatabiriki hawa watu. Nasisitiza, piga msuri.
  5. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Aisee! wacha tuone itakuaje Ila try, hata kui disqualify moja post kwa ku-edit kitu tofaut mbali na appl letter e.g weka cheti. U never knw
  6. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Kumbuka kwa nafasi hizi za sasa //TRA, one of the General condition ni ku-apply only one post incase kama system inakuruhusu ku-apply zaid ya post moja. Wanaweza kutumia kama kigezo ku-disqualify watu.
  7. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Mkuu huwez ku-cancel, the only thing u can do ni ku-edit application letter.
  8. Auditor_07

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Kuna mtu nimemsaidia kufanya hilo jambo, huenda ni suala la network, but once u edited inakuwa imekubali kwenye database yao.. Ondoa hofu mkuu.
Back
Top Bottom