Mheshimiwa sugu leo amezungumza vizuri sana juu ya maslahi ya wanamuziki na unyonyaji wa hali ya juu unaofanywa na wanaojiita promoters wa muziki wa kitanzania( Clouds fm) pamoja na kampuni zilizoanzishwa kuendeleza unyonyaji huu.
Inasikitisha sana kuona kwamba Ruge na wenzake ambao katika hali...
ILa sifikirii kama Kissena atakuwa na uwezo mdogo sana asijue alichokuwa anakifanya kwamba hawezi kutofautisha bei ya ununuzi wa hisa na consultancy fee,hapa lazima Idd Simba atuambie vizuri.Na ni vipi Idd Simba yeye mwenyewe awe Mwenyekiti wa bodi halafu pia anatoa ushauri kwa kampuni ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.