Recent content by Atukuzwe Mungu

  1. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Ujue Mmea wa Mjaafari tiba za Vidonda vya tumbo

    Naomba namba yako mkuu, Nina changamoto
  2. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

    Mkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi? Nimeenda hospital nikaambiwa Nina low testosterone yaani hormone yangu ipo chini. Nimetumia dawa. Nateseka sana Ndugu zangu.
  3. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

    Mkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi? Nimeenda hospital nikaambiwa Nina low testosterone yaani hormone yangu ipo chini. Nimetumia dawa bila mafanikio
  4. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Aiseeh watu wamechoka kusikia mamb ya serikali, wamekuwa mbogo baada ya naibu waziri kuanza kueleza mambo ya serikali 😃😃
  5. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Na leo tena?
  6. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Huyu Babu Tale, kama ni mpira hauna upepo
  7. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Babu Tale hatimaye kapewa maiki, kama kawaida yake hanaga point kabisa 😃
  8. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Naona baby Tale amechoka Sasa, kameenda kukaa😃
  9. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    😃😃😃
  10. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Huyu kalewa sio Bure😃
  11. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mwanamme kushindwa kutungisha mimba

    Salam ndugu zangu wanaJF, JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini? Vipimo vya hospital vinaonesha sperm hazina speed na sio matured. Naomba msaada kwa mtu ambaye anajua matibabu ata ya kienyeji...
  12. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    Mkuu fungua DM yako
  13. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    Fungua DM yako mkuu
  14. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    M Mkuu nakuja DM tuongee na tuashauriane
  15. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    Asante Mkuu, wengine utani na kupuuza kwingi
Back
Top Bottom