Recent content by AtuK96

  1. A

    Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    UPDATE: Pesa zimerudi asee😂, ile Control number ni Exact Value, kwa maana malipo yote yapo configured kupokea kiasi kamili kichowekwa na kanzidata ya RITA, ingekuwa Control Number za Malipo ya TRA ama Bili zingine ningeumia, kuna App inaitwa GEPG, inaonesha ni Control number zipi zipo Configured...
  2. A

    Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  3. A

    Jinsi ya kusajili Power of Attorney

    Za muda, Leo nimetoka kuonana na wakili mmoja na kunielekeza jinsi ya kuwa na Power of Attorney iliyo halali; Wakili akishai-draft na kuigonga muhuri, anatakiwa kuandaa "Application for Filling Power of Attorney" ambayo utaipeleka Wizara ya Ardhi kwaajili ya kuisajili.
Back
Top Bottom