Ndugu zangu,kwa sasa kumekuwepo na biashara nyingi za kimtandao ambazo zina element ya utapeli.
Biashara hizi nyingi zina aina moja ya utendaji ambapo unaingia kwa kuweka hela kisha kuwaalika wenzako na kupata hela kutokana na kile wanachoweka pamoja na hela uliyoweka.
Biashara hzi kwa sasa...
Unatengeneza story tupe insight ya unachokufahamu juu ya hii kampuni basing na madai yako...Hizi ni propaganda baada ya kushiba wali na maharage...Hamna kitu ulichoongea hapa
Amijeweka kwenye spotlight na lazima wa hakiki kama kweli ni Mtanzania amefungua case Jina lake lina Utata.Kuna mhasibu mwenzangu alisoma Kenya Mama ni wa huko Uhamiaji Juzi walimwambia apeleke cheti huku Arusha so ni Jambo la kawaida ku crosscheck
Hyo ni kawaida kuitwa na kuthibitisha uraia Haijaanza leo.Ninawajua wati wa kawaida hata kazini ninapofanya waliohojiwa uraia wao..Tena hajafatwa wa huku kwetu walifatwa ofisini nipo Arusha siwez shangaa hili.
RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.