Recent content by Athumani kinglop

  1. Athumani kinglop

    Msaada wa vyuo vinavyotua short course kwa wenye division four kabla ya kujiunga na diploma

    Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta mafunzo ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni chuo kipi kwa hapa dar maana sivifahamu vyema vyuo vya ualimu, tafadhali!
  2. Athumani kinglop

    Ni chuo gani naweza kujiunga ngazi ya diploma kama nina division IV ya form four?

    Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni chuo kipi kwa hapa dar maana sivifahamu vyema vyuo vya ualimu, tafadhali!
  3. Athumani kinglop

    Ni chuo gani naweza kujiunga ngazi ya diploma kama nina division IV ya form four?

    Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nimepata div. IV ya 26 ninatafuta vyuo vya ualimu vya kujiunga, lakini vyuo vingi wanasema wanapokea mwisho div. III je, hakuna chuo ambacho kinatoa mafunzo ngazi ya cheti na kinatambulika na serikali ili nikajiunge nacho ili niweze kujiunga na...
Back
Top Bottom