Recent content by Athuman hamis Juma

  1. A

    Msaada wa mkopo nafuu

    Naitwa athuman hamis Juma, 24, nime hitimu chuo kikuu cha Dar Es Salaam mwezi July 20,2018 Naomba msaada wa mtaji kiasi cha shilingi million 2 ambacho nitaanza kufanya biashara mwezi huu huu kama njia ya kuinua kipato na kufikia ndoto zangu Naomba msaada kwa kuwa sina pa kushika nikaweza kupata...
  2. A

    Jinsi ya kuhack online games

    Naomba msaada wa ku hack game la Politics and War tafadhali Nipate cash na coins nyingiiii
  3. A

    Siasa katika uchumi wa middlemen

    MWAMBIE MTEULE WA RAIS - OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, Paul Makonda Mwambie kuwa Baada ya kumaliza stand ya Mbezi terminal na kuhamisha hii ya Ubungo Pale Ubungo asijenge soko kubwa ili wafanyabishara wa ndani na nje ya nchi wawe wanakuja kuchukua bidhaa kutoka nje ya nchi moja...
Back
Top Bottom