Recent content by Asulo

  1. Asulo

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Ni wewe Wang'wise nimjuaje mimi wa khm au huyu ni mwingine
  2. Asulo

    Nauza Tiles za Tanga stone

    ungeweka namba ya simu hapa kwa faida ya wateja kuliko mtu aje pm kuomba namba..
  3. Asulo

    Nanunua gari isiyozidi TZS 5m

    Tembelea kupatana, utayaona mengi tu kadri ya uwezo wako.
  4. Asulo

    Natafuta Ka-mziki, nina laki 2 na nusu

    Mkuu alishakwambia kuwa ni product ya wale jamaa wenye tumacho tudogo... Hujamwelewa tuu? Heri yeye kawa mkweli, ila tupo vizuri huto.
  5. Asulo

    Hivi kwanini watu wa Dar wanapenda kuwaita watu wa mikoani washamba?

    ha ha ha ha ha.....watu lazima watoane povu hapa. Hivi wa mikoani tunaanzia wapi na wa dar ni wapi vile?
  6. Asulo

    Jipatie Tablet, bei imeshuka kwa Tshs. 135,000/=

    Mbona huweki specification za hiyo tablet mkuu?
  7. Asulo

    Kero: Vodacom, kabla ya tarehe 26 mwezi huu, nitakuwa nimeivunja line yenu

    Hawa wezi ni kuwaacha jamani mapema tu... Ni vyema wapeteze wateja ili wajirekebishe.. Wezi wakubwa hawa. Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kutumia voda au anayetumia voda ambaye hajawai kuibiwa. Wengi tunaibiwa kwa kujua ama bila kujua, ni vyema kuwaama wezi wakubwa hawa.
  8. Asulo

    Kero: Vodacom, kabla ya tarehe 26 mwezi huu, nitakuwa nimeivunja line yenu

    Hawa wezi ni kuwaacha jamani mapema tu.... Ni vyema wapeteze wateja ili wajirekebishe.. Wezi wakubwa hawa. Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kutumia voda au anayetumia voda ambaye hajawai kuibiwa. Wengi tunaibiwa kwa kujua ama bila kujua, ni vyema kuwaama wezi wakubwa hawa.
  9. Asulo

    Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Nilishapanda mghamba ya Arusha to Khm, tukafika singida saa 3..ikabidi dereva apaki kwanza pale kona ya mwakyungu asubiri muda wa kuingia singida ufike. Maana wanatakiwa waingie Singida saa 4 au nne kasoro dk chache.. sasa yeye saa 3 alikuwa ameshafika kona ya mwakungu, tukasimama hadi saa 4...
  10. Asulo

    Natafuta vyumba vya kupanga Kahama mjini

    piga hapa ...0755925622 au 0683172449
  11. Asulo

    Nyumba inauzwa Nyakato California (Mwanza)

    Ingekuwa ni vizuri kama ungeeleza kuwa inavyumba vingapi na picha za ndani pia ingekuwa poa. Uweke na mawasiliano yako pia.
  12. Asulo

    Powerbank

    Inaweza chaji simu mara ngapi na kujaza kabisa?
Back
Top Bottom