huyu mzee muongo sana,,hao watatu anawajua sio waongeaji sana,ndio maana anazusha mambo ya kipumbavu,,kama anaushahidi aende mahakamani,,lakin amesema sekretarieti inaonekana ni ya kifisadi lakini hapa anatuhumu watu wawili,,haya aendelee na kwa hao waliosalia,,hafai kuingia ikulu huyu boya.