Recent content by assurance insurance

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kunufaika na shirika la bima la taifa, NIC?

    Ni kweli wanatoa faida kama walivyosema faida nyingine unaweza ukakopa mkopo wa nisogeze ukitimiza mwaka
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jipange leo kwa ajili ya kesho na bima ya Maisha

    Tunaweka mipango kwa ajili ya kesho, kujenga nyumba, kununua gari, kuanzisha biashara, kusomesha watoto na kuweka akiba. Lakini kuna swali moja muhimu ambalo wengi wetu tunalisahau: “Kama kesho sitakuwepo au nitashindwa kufanya kazi kwa sababu ya jambo lisilotarajiwa, familia yangu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bima ya maisha

    BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa ( kulingana na thamani ya bima ) endapo atapatwa na janga ( kifo au ajali ya kudumu ) ndani ya muda wa...
Back
Top Bottom