Recent content by Assenga2002

  1. Assenga2002

    Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Hello Mr/Ms Salama Jaman !? Natumaini ujumbe huu utakupata mkiwa wazima wa afya. Nimepata nafasi ya kuandika kwenu nikitumaini mna muda na nia ya kunisaidia katika ombi langu muhimu. Mimi ni Samwel Assenga mwanafunzi kutoka Tanzania Nyumban niliye na shauku kubwa ya kuendeleza masomo yangu nje...
  2. Assenga2002

    Wanufaika wa HESLB

    Habari Watanzania, Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo. Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote. Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya...
  3. Assenga2002

    Asilimia 96 ya vijana walioomba Mafunzo ya Kilimo (BBT) wakosa nafasi, waliochaguliwa watangazwa

    Ni vigezo gani walivyotumia kuwapata hao ili na sisi ambao hatujapata nafasi hyo itakapojitokeza nafasi ingine ya kutuma maombi tuweze kurekebisha makosa na sisi tuweze kupata nafasi kama hizi
  4. Assenga2002

    Ufugaji wa n'gombe wa kienyeji

    Kweli japo tu hata cha mchana
  5. Assenga2002

    Ufugaji wa n'gombe wa kienyeji

    Nasoma procurement and logistics Ila kikubwa kama Kuna uwezekano wa kumiliki asset kama hyo na haito athiri masomo nadhan ni jambo la muhim kulko biashara ambayo muda mwngne inahtaji usimamizi wangu Nasoma procurement and logistics
  6. Assenga2002

    Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    Wazo zuri sana pongezi kweny.. niliwahi kufanya huu ufugaji lakini sikuwa na tips nzuri, mfano, namna ya kuwavutia nyuki kwenye mzinga mwisho wa siku nkabomoa yale majumba yake... Nlifeli wapi ndugu yangu
  7. Assenga2002

    Ufugaji wa n'gombe wa kienyeji

    Habarini wakuu, Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za ufugaji wa kienyeji na gharama zake (ndama) kwa ukanda wa Moshi huku.
Back
Top Bottom