Recent content by ASSASSIN

  1. A

    Bodi ya mikopo yawatupa wanafunzi wa urusi!

    BODI YA MIKOPO IMEAMUA KUWAFANYIA UFUSKA WANAFUNZI WANAOSOMA NJE, WAKIWEMO WA URUSI, HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA KWA WANAFUNZI ( MAJINA TUNAYO) ZINASEMA , WALITAKIWA KUPATA HIZO HELA ZA KUJIKIMU TANGU SEPTEMBER MOJA LAKINI BODI HADI LEO HAIJATUMA HELA HIZO NA KUWAPA TABU WANAFUNZI HAO WAKITANZANIA...
  2. A

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Nenda hospitali mkuu, nightmares zinaweza kuwa symptom za ugonjwa serious, mimi ni medical student!
  3. A

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    The best among the poorest, check rank ya chuo hiko katika vyuo vya dunia, na africa peke yake, just find out by google by urself then uanze kufuta hizo sifa moja baada ya nyingine, sooooo saaaad!
  4. A

    Kashfa nzito zaibuliwa dhidi ya Ubadhirifu Bodi ya Mikopo

    Vigogo wajilipa mishahara minono, ajira kinyemela Mikopo inayopaswa kurudishwa ni Sh. bil.300/- Hadi sasa fedha zilizokusanywa ni Sh. bil. 9/- tu Vigogo Bodi ya Mikopo (HESLB), wanakabiliwa na tuhuma nzito za ubadhilifu wa fedha kwa kujilipa mishahara minono na matumizi mabaya ya madaraka...
  5. A

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    kazi yako ni kumwambia, suala la kuacha ni la kwake maana hawezi kuacha wewe ukiamua na badala yake yeye ndio inabidi awe na nia na aache!!
Back
Top Bottom