Umesema yote, mapenzi ya kujificha mazuri bwana, asikuambie mtu, ile tu sense ya kuwa hiki si cha kwangu na muda ni mchache wa ku spend nae na ni kwa siri kuna exictment,ungekaa nae kama mke for few years ungekuweza kuwa tathmini tofauti na hiyo, all in all pole kwa maumivu, heals with time.
Kuwa raisi ww basi!! Una la ziada au, ni wale wale kama mm huna la ziada zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard kukosea watu ma raisi??? Raisi wa mfano no yupi, au tusiburi uwe wewe wa mfano!! You dont have to be against everything and everyone!! Binadamu makosa ni kawaida, na kama ameweza kurekebisha...
Magufuli alimteua mkurugenzi nsssf leo kesho akamtoa?? Hakuona hilo kama dhaifu, au kwasababu ni mwanamke??? Acheni mambo yenu teuzi ni nyingi na ni binadamu! Na kama ana uwezo wa ku rectify kuna shida gani??? Ni mwanzo na kawaida wa mwanzo kuwa mgeni, acheni mama afanye kazi
Let her go!! Weka imani Mungu anakuepusha na jambo mbaya mbeleni! Najua umeumia na bado unaumia, but kumbuka it is just a phase utasahau na maisha yataendelea! Wewe sio kwanza kuumia na hautakuwa wa mwisho! Usilazimisha utaishia kuwa mtumwa! Let her go, wacha dunia imfunze!
Mkeo akikuacha ili uendelee vzr na huyu mchepuko believe ndo utajua unampenda nani sana, sometimes it takes to loose someone in order to know their worthy!! Na ukianza kuishi na huyo side chick miaka kadhaa na kupata watoto ndo utajui kimya kinyemi nothing else,! Kuna watu wamepitia same...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.