Recent content by Asm

  1. A

    MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

    Kula na sumu basi Maana pia imeumbwa
  2. A

    Nyongeza ya mshahara ya 6,600/= ni dharau kwa wafanyakazi

    Hivi ni fitina tena. Hata kama hayatuhusu w engine ni ndugu zetu.Hivyo wakiongezewa wanapata tija.
  3. A

    Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

    Ni kweli inatia huruma.Lakini aliyewaumba ndio atawapa Mahala pengine na rizki iliyo bora zaidi.Huu ni msiba sikia kwa mwenzio
  4. A

    I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

    Ni kweli usemalo. Ndio Maana nimesema kila jambo lazima uwe na elimu nalo. Lakini unaweza kujifanyia wewe mwenyewe tathmini na tafakari ya kina ulikuwa ni Nini kabla ya kuja duniani.
  5. A

    I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

    Kuna vinaovyonekana na visivyoonekana.ila uelewa unatofautiana. Lakini Mtu huyo anajua alitoka tumboni kwa mama yake. Na aliambiwa tu au kwa kuona mimba zilizomo matumboni mwa wamama . Upumbavu sio neno baya kama anaeambiwa mpumbavu anajua kuna Mahali anaemwambia hajui au hana elimu ya jambo Hilo.
  6. A

    Suala la Mali za waislam linawezakua kama mahakama ya kadhi!

    Wewe Gujalati, acha kuweka maneno ambayo hayana msingi wowote kama huyui mali za waislam kaa kimya tu. Ni muislam gani ambae atakuchinja eti kisa mali zao. Wenyewe wanajua mali zao ni zipi ndo maana.
  7. A

    Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

    Kama mandela angekuwa nae anaongea hovyohovyo kisa ameulizwa sidhani kama angefanikiwa.
  8. A

    Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Yaani mambo hovyo sana sasa ni kuitwa mheshimiwa? Ama wabunge safari hii ni hovyo. Sasa walitoka halafu wameingia unashindwa kuelewa wamesamehe wafanye kazi au?
  9. A

    Rais Magufuli apingwa, ni kuhusu kutumbua majipu

    Sasa kama wezi wamekamatwa, ukashitaki kisa aliyekumata eti hana mamlaka. Hawa jamaa wana mzunguko
  10. A

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Duh hii imekaa vema, tulikuwepo kana enzi za 1991 mwl mbezi. Usagara sec. Msambweni na duga tunakumbuka mbali mno safi sana.
  11. A

    Sitta: Mnyika niheshimu kama mzee na mzazi wako, Je Warioba sio mzee na mzazi?

    Kimara_Bonyokwa hakuna maji miaka mitano inakaribia kwisha. Hakuna alichofanya.
  12. A

    Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

    Achana na hao jamaa. Hivi makundi ya dini yameitwa kufanya nini?
  13. A

    Mahakama za kadhi nchi zingine za Afrika

    Yaani hawa hawana jambo kwa dini yao. Si nao wangeomba mahakama au wao ndio serikali isio na dini?
  14. A

    Mahakama za kadhi nchi zingine za Afrika

    Kaka huu ndio ule mfumo kristo, ndio maana mapadre wamepinga sana. Basi kama kweli waislam mlitaka kadhi courts na wakristo wamewakatalia mnafanyaje? Kwani si ipo kura ya ndio au hapana tumieni. Otherwise fanyeni dua sana kwa Mwenyezimungu ndie bora wa mahakimu.
Back
Top Bottom