Recent content by Aslim Taslam

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

    Tumia password au pin.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mombasa hali ni tete, msako wa polisi misikitini vijana wanne wafariki

    Kinachotafuta na serikali ya kenya mombasa bado hawajakipata, ila kuna siku watakipata hapo sasa ndio watajuta kutokujitambua.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu hata waungane wote hawawezi kuipiga Israel kivita

    Israel imeshika vichwa maboga, wanaokubali kuendelea kuwa watumwa wa akili na kila nyanja na hawa wamewambiwa watumwa wao eti wao waisrael ni taifa la mungu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari na matangazo ya nauza/nanunua

    Katika miaka ya 1990 ilikuwepo biashara ya natafuta mali fulani, kisha anakuja mwingine nauza kisha anakuja tena mwingine anataka mali ile ile aliyo kuwambia wa kwanza natafuta kisha wapili nauza. Na hapo waliwahi kulia wengi kwa mchezo huu. Wengi walizungukiwa mnunuzi-muuzaji-mnunuzi-muuzaji...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Toyota mark II, cresta baloon, 4s-fe engine inauzwa Mil 4.5

    0784_355300, kama inalipa nipigie.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Toyota mark II, cresta baloon, 4s-fe engine inauzwa Mil 4.5

    Kula 3m
  7. A

    JamiiForums Tanzania Suzuki swift inahitajika

    Njabo, hiyo vitz tupia mapicha 0784_355300 niiyone. Na bei.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nissan march for sale 3.5

    Kwa whatsapp.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nissan march for sale 3.5

    Nitumie picha za march 0784355300.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Toyota Passo inauzwa Bei 9 million

    Mimi namuongeza nampa 4.55.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rav4, 5 doors inauzwa 6M

    Muuzaji upo mkoa gani, tupe full physical address.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rav4, 5 doors inauzwa 6M

    Namba gani, vibali vyote vimelipiwa na km ngapi imetembea auto au manual?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Habari wana jf, nahitaji kununua vitz ambayo haijawahi kupata ajali, clean condition. No.b kwa 3.8m.

    Habari zenu wana jf, mwenye nayo vitz model 2000 nakuendelea no.b offer yangu 3.8m au no.c 5m ambayo iko safi body ndani no accident history. Vibali vyote vimelipiwa. Nitumie picha whatsapp_0784-355300.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Xperia C iko katika nzuri sana haina tatizo lolote, touchscreen network vyote vipo sawa

    Nakupa uicheki kila kitu, maana sifanyi utapeli.
Back
Top Bottom