Nchi za kiarabu hata waungane wote hawawezi kuipiga Israel kivita

Status
Not open for further replies.
Israel imeshika vichwa maboga, wanaokubali kuendelea kuwa watumwa wa akili na kila nyanja na hawa wamewambiwa watumwa wao eti wao waisrael ni taifa la mungu.
 
Umesaahau kipigo cha juzi kutoka kwa Wapestina wasio na silaha mpaka Israel wakadai usainiwe mkataba wa amani na kitu ambacho walikuwa wanakikataa?
Waarabu kinachowaangusha hawana umoja,halafu wanafiki,wamarekani walishawaweka mkononi,ndicho kinachowaponza,
 
Mimi ninacho fahamu ni kuwa mpaka hii leo Israel wanatawala Visiwa vya Uarabuni.

[/url]

http://www.wrmea.org/images/2013_Oct-Nov/mcarthur.jpg

A Conservative Estimate of Total U.S. Direct Aid to Israel: More Than $130 Billion

By Shirl McArthur

The Washington Report on Middle East Affairs,’s current estimate of cumulative total U.S. direct aid to Israel is $130.212 billion, updating the estimate in the November 2011 issue.

http://www.wrmea.org/2013-october-november/congress-watch-a-conservative-estimate-of-total-u.s.-direct-aid-to-israel-more-than-$130-billion.html

Nakuuliza we dada! Mwenye Kutawala wengine huwa omba omba km hao waume zako maskini Wa Kiisraeli.
 
Kudhikiri uchi ndio kufanya nini!

Nyie wakristo mbona mnapenda sana masuala ya Kukaa uchi?

Mpaka huyu PASTOR wa Kenya akaawamrisha wanakondoo wa kike kuwa WAKIJA KANISANI wasivae CHUPI ili yesu apate kuwaingia kilaini.

Gonga hapa uone mnavyopenda mambo ya UCHI UCHI!

Kenyan Pastor Bans Female Congregants From Wearing Underwear in Church

Mkuu kwani hujawahi ku dhikr!? kwa hiyo yaani ukifanya namna hiyo huku ukiwa uchi, yaani haitosaidia... ukweli nimekwisha kupatia... kwa maana nyingine haina haja ya kusumbuka...
 
Huyo israel nani ana shida nae, waarabu wanakula kuku nchini kwao huki yeye anahangaika na kujilinda sasa unajisifu nini huku huna amani??? Wakati wenzao mapolisi wanaendesha lamborgini nenda katembee uae utoe tongotongo
 
Nchi za kiislam au za kiarabu hazina haja kupigana nao kijeshi..
Wanamgambo tu wa hamas wanawatoa kamasi badala yake wana ua watoto na kufanya uhalifu wa kivita.
Hawa hamas wapo chini ya ulinzi wa israel na vikwazo lakini wanaume waliwachapa wanajeshi zaidi ya 100 juzi mwezi wa july kwa kutumia silaha za viwanda mfano wa gerezani kariakoo.
Israel ikabaki kuua raia na kuvunja makaazi ya kiraia.
Unapo zungumza vita ya kweli kabisa ya jeshi la waraabu wote zaidi ya million 300 na wenye uwezo wa kutoa nguvu jeshi la watu million 50 dhidi ya wayahudi million moja ma nchi yenye ukubwa wa Dar es salaam hapo labda itumie nuclea bombs na waombe tu warabu wasichukue uamuzi huo wa pamoja utasikia tu kwenye vitabu kulikua na taifa la israel lililo ishi miaka 50 na kuangamia.
Kwanza ujue israel haiwezi kuwapo viani kwa zaidi ya miezi mitatu...ujue mayahudi massetlers watapanda ndege kurudi kwao marekani na ulaya.
Nguvu za jeshi la misri
saudia
algeria
tunisia
mauritania
oman
UAE
yemen
lebanon
sudan
Iraq
Syria
Libya
wakiamua kabisa kwa umoja wao na raia wakihamasishwa kabisa kuwa kuna umuhimu wa kuondoa kidonda hichi cha israel basi wiki mbili ni nyingi na ujue patachimbika ..
Matatizo ya mfano wa yanayotekea syria ujue israel kama taifa haliwezi kuhimili kishindo kama kile.
Kwasababu ni taifa la walowezi wageni watahama.
Israel Ni nchi iko kama ukubwa mkoa wa dar es salaam sio rahisi kujilinda hata kidogo inaposhambuliwa kila pembe. Usichukulie vita ya 67 na 73 silaha za wakati ule ni duni na warabu walikua ndo kwanza wameanza kuimatika kiuchumi.
Nikupe mfano tu wa nguvu za kijeshi za nchi za kiarabu zilivo na nguvu.
Iraq peke yake iliwachukua siku 120 kulazimisha suluhu jee unajua ni nchi ngapi zilipigana na Iraq ? Ni nchi zaidi ya 50 na sadam hakusalim kilaini ..ujue hawo ndio waraabu wakiamua...
Siasa tu za dunia zinafanya waraabu wasichukue uamuzi huo otherwise mayahudi ni kama yai juu ya meza linayumba yumba
Unazi tu ndio unakufanya ufikiri unavyo fikiri
 
Hizi zingine sasa ni chai, yaani watu hawana silaha halafu wakashinda... Uwendawazimu ni fani...

Nadhani hakuna Wendawazimu km huu wa kufunga ndoa na Wanyama.

Hebu cheki huyu bibi harusi wa Kikristo!

View attachment 203622

Na hapa kondoo wanalishwa MAJANI Na PADRI

1416337318808.jpg

Na hapa kondoo anatolewa pepo KANISANI.

View attachment 203623
 
Wakolosai hawaishi vituko. Haya sasa ashinde vita israel au Palestine weye kicheko/kilio. Ujinga mwingine wa ajabu kweli. Ni sawa na mmasai wa Oldonyo Sambu ashangilie/akasirike mpaka ugomvi wa kuuwana, kisa, simba/yanga imeshinda/imeshindwa. Ujinga mtupu.
 
Wakolosai hawaishi vituko. Haya sasa ashinde vita israel au Palestine weye kicheko/kilio. Ujinga mwingine wa ajabu kweli. Ni sawa na mmasai wa Oldonyo Sambu ashangilie/akasirike mpaka ugomvi wa kuuwana, kisa, simba/yanga imeshinda/imeshindwa. Ujinga mtupu.

Yaani afrika ukoloni hautaisha
 
Kwanini watu hamtaki kukubali ukweli?kushindwa au kushindwa ndo cha msingi kujadili na siyo udini,hebu tujadili kuhusu hii vita bila kugusia udini

mkuu huwez kuanzisha mada km hizi bila kuhusisha udini we mwenyewe umeanzisha hii thread kwa misingi hyo hyo hlf unatka watu wasicomment kwa misingi waliyosimamia, kukusaidia na kusaidia jamii za watu wa palestina na israel ni kuacha ushabiki linapokuja suala km hili,.. hii ishu inahusu maisha ya watu sio suala la ushabiki wa mpira be serious next time
 
Sera za ukristo ni za kishetani na wala uhitaji kuhadithiwa
1.pombe ni rafiki wa shetani na wakristo pombe kwao halali na hata kanisani inaitwa damu ya yesu
2.ushoga ni agenda ambayo kanisa linasambaza kwa nguvu zote hafi papa kutaka kuhalalisha
3.zinaa na ufuska ndio usiseme, gwejima, gdavi , jairuki etc
4.ili liendelee linatumia nguvu nyingi kukwapua pesa na hadi kuiba , hadi escrow imepitia huko huko na kuhusisha na padri
Hii ni zaidi ya ushetani
 
Al majunun fununu... Uwendawazimu ni fani... Ni tabu kujadiliana na mtu anayeona uwendawazimu ni fani...

Teh teh teh! Mkuu wa chuo cha machizi.
Unamkumbuka huyu?
1416338666036.jpg

Ulisema Hio kofia yake ndio ilikuwa inapoteza maboya zile satellite za Wamarekani! Au umesahau?

Teh teh teh.
Tukipata wakuu wa vyuo km wewe lzm mkoloni arudi tena.

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom