Recent content by Askwary Amnaay Siay

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

    Kwa itifaki ilivyo mwenyekiti hawezi kumpokea mdogo wake ila atakutana eneo la tukio.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sasa nimetambua kuwa Chama ni watu. CCM ipo mikononi mwa watu wabaya wasiokuwa na huruma

    Waziri wa kilimo yuko sawa, mkulima mwacheni auze anavyotaka ameonewa miaka mingi kufunga mipaka kunamkosesha thamani ya mazao yake huku wafanyabiashara wakinufaika na jasho la mkulima. Kilimo kwa sasa kinalipa. Bakini na Nape na Mwigulu🤪🤪
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

    Mwambie mikutano ya vyama vya siasa sasa ruksa, watumishi wamepandishiwa mishahara na madaraja haki waliyokosa kwa kipindi chake chote, mwambie Mama ameupiga mwingi 🤸🤸
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni Makosa kufikiri Musonda ni sawa na Phiri!

    Hata Fei toto wakati anaigia Yanga hakuwa na kiwango kama cha sasa, mchezaji ataboresha kiwango chake kwa kujituma, kufuata maelekezo ya kocha, maslahi, mawasiliano na wachezaji wenzake na kupewa namba mara kwa mara.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba bingwa wa CAF 2023

    Kama we ni mzalendo watabirie na Yanga🇹🇿😂 Tanzania kwanza
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    Kwa maana hii tuache kukimbiza mwenge wa uhuru badala yake tukimbize jiwe la Tanzanait? Kwani watanzania wanaoishi vijijini hawaijui jiwe la Tanzanait, wakiliona wanaweza kugundua sehemu nyingine zaidi ya Mererani.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RS Barkane wanaitaka huduma ya Mayele upesi

    Nimekuelewa mapema alfajiri👏👏👏
  8. A

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Wahi Mirembe, hii taasisi haitafutwa Dunia nzima🤪🤪
  9. A

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Wanauza spea za magari bei ghali sana mara tatu ya maduka mengine
  10. A

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    TEMESA ifutwe ni kitanzi iliyojinyonga serikali bila kujua.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Makambo OUT, Yacouba IN. Viongozi Yanga wafungua pochi, Feisal arudi, aibu iliyoje kwa washabiki waliokuwa wakiimba hawamtaki

    Hivi ikitokea umemfumania mwenzi wako utamfanyeje? Na huku bado unamhitaji kwa faida ya familia. Ndiyo kilichotokea kati ya Yanga na Fei toto.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

    Million nne tu🙄 mwacheni mtoto wa watu aende kutafuta maisha kama ni kweli kweli
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

    Kubali usikubali, mama anaupiga mwingi mfano Mbulu imeanza siku moja na Nairobi lakini hakuna Rais aliyeitambua Mbulu zaidi ya Mama, kwa mara ya kwanza Mbulu inapata Barbara ya lami ndefu sana ya km 25 TOKEA Tanzania izaliwe Halafu tukisema Mama ameupiga mwingi mnabisha pumbavu zenu🐕
Back
Top Bottom