Recent content by Askarimaji

  1. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Bas ilo ni tatizo, nitafute kuna dawa nikupe ya kunywa, itakusaidia sana....heshima itarudi
  2. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Iko kimoja kinachukua dakika ngapi ?
  3. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Iko kimoja kinachukua dakika ngapi ?
  4. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

    Nimewaelekeza kiupole sana yan, wenye akili itawasaidia hii
  5. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

    Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba, kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25. Ikiwa...
  6. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inapangwa na mwanamke sio mwanaume

    NDOA INAPANGWA NA MWANAMKE SIO MWANAUME Kauli hii inaweza kukushangaza kidogo ila ngoja nikufafanulie, Mwanamke ndiye anaepanga ndoa na sio mwanaume, hii inamaana gani!!! Maana yake ni kwamba wewe mwanamke kwa tabia yako njema, uvumilivu wako, huruma yako, heshima yako, utiifu wako kwa...
  7. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Simulizi tamu ya aliyewekeza kwenye taaluma

    Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua kila kitu akatoa nyundo ndogo iliyokua kwenye begi lake akagonga sehemu flani ya injin kidogo sana...
  8. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
  9. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Ngoja nikuulize swali... Unahisi kipi kinaleta dharau zaidi.... Kati ya kutokuwa na pesa kwa mpenzi wako au kushindwa kumpelekea moto kisawasawa?
  10. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Asante sana😭
  11. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Yaan alikuwq mtu muhimu kushinda mimi, si ndomana nikaambiwa nikate
  12. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Siwezi kusamehe upuuzi mie😕, nishasonga mbele
  13. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Hatimae mpaka wewe ujumbe umekufikia, na I hope kuna kitu umejifunza japo kwa uchache
  14. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Mzigo nilipewa mara kadhaa si ndo mpaka nikanogewa na kutaka kuoa kabisa
  15. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Nilihisi tu kuwa ni wewe😊😊
Back
Top Bottom