Recent content by Askari wa miguu

  1. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    Halafu ikaandikwa 31K
  2. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    31000 Dar Dom
  3. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    Ok asante kwa taarifa acha nifanye hivyo
  4. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    watanirudishia pesa yangu au?
  5. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
  6. Askari wa miguu

    Nikifa mwili wangu utupwe mbugani simba na fisi wapate kitoweo

    Nyama zenyewe unazo!? una uhakika Simba atashiba?
  7. Askari wa miguu

    Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Hatuombei kwa jina la Yesu, ila tumswalie Mtume SAW au sio maalim[emoji23]!?
  8. Askari wa miguu

    Hirizi ni mzigo mzito sana

    Power bank 😄😄
  9. Askari wa miguu

    Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Kiki hizo, yn achana na hyo avatar yko ila just by reading between the lines kwny uandishi wako unaonekana fala 🤔
  10. Askari wa miguu

    DAWASA na ubambikiaji wa bili za maji

    Aisee now i see the light... kila mwezi nalipa 30K na nakaa mwenyewe nyumbani na weekdayz nipo kazini!! Mpka nikajiuliza labda kuna mtu ana kiwanda halaf bomba kaconnect kwangu
  11. Askari wa miguu

    Nauza laptop Dell Inspiron N4030

    haina tatzo lolote mkuu
  12. Askari wa miguu

    Niuzie laptop

    Dell, HP, Toshiba au Lenovo na Samsung used iwe katikati hali nzuri. Bei isizidi 350K.
  13. Askari wa miguu

    Achilli will kill his father and marry his mother

    That is not history! itz called mythology (Greek mythology)...anyway itz interesting
  14. Askari wa miguu

    Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    waluguru- Kobero Mkude Kassongo Kwembe Mizambwa Luanda Msimbe Lukoo Banzi Bwakila Mkoba Nyawale Josungu Nyagongo Magali Mluge Berege Kunambi
Back
Top Bottom