Mmmhh kumbe kusahau no ugonjwa hatari Sana kwa afya Bora ya aKiLi,Leo Hawa mashabiki wa uToPoLo ambao hawaishiwi viroja na vituko wamestaarabika,nasema hapana,nimashabiki wa timu gani pindi timu Yao ikipata suruhu kwenye mechi,wanakawaida ya kupita press ,na kusema wanaandamana kwenda kupelekA...