Recent content by ASK1

  1. A

    Naombeni mnijuze faida za kuroot simu apa nina tecno n3.,,

    Ukisha root nenda kwa Google store uka download na kuinstall Root Checker itakwambia kwamba simu yako imekuwa rooted properly or not
  2. A

    Nahitaji program ya Nero

    Fungua WWW.thepiratebay.se Kisha andika hiyo Nero version yoyote unayohitaji, kisha click search. Ikishafunguka chagua torrent unayoitaka then click get torrent. Hakikisha PC yako ume install uTorrent.
  3. A

    Tecno mobile Mega Thread

    Tatizo custom ROM za mtandaoni zinakuja na majina yake ya simu hasa zile za majina makubwa kama Samsung, LG, Huawei, Sony n.k. Hakuna ambayo imetengezwa kwa ajili ya Tecno.
  4. A

    Tecno mobile Mega Thread

    Mnisaidie Nitawezaje kupata android 4.4 (KitKat) kwenye simu aina ya Tecno S5 yenye android 4.2.2 (Jelly Bean)
Back
Top Bottom