Recent content by asiendas

  1. A

    Kwa CHADEMA na Viongozi wake hasa Freeman Mbowe na Dr Slaa....

    imetulia, but ARUSHA Peoplesssssssssssss p, Hakuna kulala mpaka ki.....................ke.
  2. A

    Ushindi mtamu

    unasahau machugu yote, wawezatembea kwa mguu ukasahau kupanda gari.:yo:
  3. A

    Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

    tupatieni e_mail za BAWACHA tujenge chama
  4. A

    Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

    tupatieni e_mail za BAWACHA tujenge chama
  5. A

    Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

    nimekuku bali mkuu, kweli tunahamu sana na BAWACHA lakii hatujui pa kuanzia, CAUSE MAGAMBA,wanakaribia kufanya uchaguzi so watawateka wale wote wenye nia njema na bawacha. Njooni matawini, acheni kulaaa.
  6. A

    Wananchi wa Arumeru Mashariki kumsindikiza Nassari bungeni

    kila la heri mpelekeni kijana akawatoe jasho walalavi(walala usingizi) awaambie bado wengine wanakuja hatujaisha. ila choonde wanaintelijensia wanalijiua hilo? wasje wakasema tunaandamana kuelekea mjengoni wakatuzuia ubungo.
  7. A

    Polisi na wanajeshi wote ni wana CCM?

    Siku isiyo na jina inakuja watashaa. wataomba usiku usiishe.:kev:
Back
Top Bottom