Brooklyn,
That is a very serious accussation! Do you have facts that the Bank is cooking its financials? How about other Banks? Hapa mimi naona kwamba huu ni uonezi wa hali ya juu kwa benki ya CRDB ambayo imeuinua uchumi wa nchi hii na watanzania kwa ujumla. Hao wanaouwatuma kuwa makuadi wawe...
Ndahani, je umeziona published financials accounts za mpaka september za sikio la kufa(CRDB Bank)? wanatisha kweli kweli. Wanaongoza kwa kila kitu. jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Tusiwe makuwadi tu-argue kwa facts sio kwa majungu na uzushi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.