Recent content by Ashura musa

  1. A

    Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Daaah, siamini kama ni kweli yale matokeo, hivi wanasihishaje? Next time inshallah sikati tamaa
  2. A

    Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Ameen inshallah, ngoja nijiandae kwa lolote likavyokuja mbele yangu
  3. A

    Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Yaan wanatupa pressure, sasa mpaka saahizi hakuna kitu na kesho ni oral, maanake nini?
  4. A

    Kwa waliofanya written interview za MUHAS pale DUCE

    Hata mi nasubiria kuna hayo matokeo, mpaka SAA hizi naona bado
  5. A

    Mfumo wa ajira mtandaoni...(portal ajira)

    Umefafanua vizuri, atakua ameelewa maana umetumia lugha yetu Hamisi
  6. A

    Accountant Position at CRDB Bank Deadline Sept 30

    Mbona hakuna hata vigezo, na masharti, hivi tangazo liko sawa kweli???
  7. A

    Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    Wakumbuke na watu wa diploma jamani
Back
Top Bottom