Habari,
Mimi ni freelancer wa kitanzania, napenda kuwatangazia kwa yoyote anayetaka kutengenezewa mobile application kwa shughuli zake binafsi, kampuni yako, anapofanya kazi au idea yake naweza fanya kwa uhakika na umakini
Mobile applications aina zote ANDROID(Kama jamiiforum or tigo pesa...