Recent content by ashraffbale

  1. ashraffbale

    JamiiForums Tanzania Producer amba / ab records ni legendary

    Naomba mwenye nyimbo hizi produced by amba/ab records atume 1. yaki ft farida we ni wangu 2. Mauza uza meckone 3. Binti maringo kk Nimeitafuta kila kona sizioni ni za kitambo Mwenye nayo atuwekee attachment hapa. Nipo hapa naskiliza matambala yake na rama dee, man kichefu, hussein machozi...
  2. ashraffbale

    JamiiForums Tanzania DOKEZO 4H real estate company ni matapeli, wameniuzia kiwanja chenye mgogoro

    Habarini, Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni Pia kuna watu amewauzia viwanja hewa vilivyopo Kisarawe Lingato, anaweka beacons za uwongo. Genge hili la...
Back
Top Bottom