Recent content by ashrack

  1. A

    Mwanafunzi kutoka shule ya wasichana Feza aibuka kidedea kwenye mashindano ya World Scholars Cup

    Mwanafunzi kutoka shule ya wasichana feza Rahma R Masele ameibuka mshindi kwa kuipeperusha bendela yetu ya Tanzania kwa kushinda kua best junnior debate speaker kwenye mashindano ya world scholars cup ambayo yalishilikisha shule kutoka mataifa i zaidi ya hamsini
  2. A

    Shule ya Msingi Feza imefanyamashindano ya tatu ya mwaka kurusha tiara (3rd Annual kite Day)

    Shule ya msingi ya Feza imefanya mashindano ya tatu ya mwaka kurusha tiara maarufu kama "3rd Annual Kite Day" ambapo wanafunzi, Walimu pamoja na wazazi waliweza kuja pamoja katika kufanikisha mchezo huo. Mashindano hayo yalifanyikmwisho wa wiki hiliyopita (picha) kushoto ni mkuu wa shule ya...
  3. A

    Shule ya secondary shamsiye boys inawakaribisha wanafunzi wa kujiunga na muhula wa kidato cha kwanza 2018

    Shule ya secondari shamsiye boys inawakalibisha wanafunzi wanaotaka kujiunga na kidato cha kwanza muhula wa masomo kwa mwaka 2018 kutakuwa na interview kwa masomo ya sanyansi na hisabati terehe 09/9/2017 na 16/9/2017 kwa masomo ya sanyansi na Hisabati mawasiliano zaid 0712 252533
  4. A

    Wanafunzi wa Kitanzania washiriki mashindano ya Mathematical Olympiad yanayofanyika Brazil

    Wanafunzi wawili wa kitanzania kutoka Feza boys na indian school wakiwakirisha nchi yao kwenye mashindano ya mathematical olympiad (imo) yanayofanyika Janeiro Brazil karibu nchi 110 zikikishiliki kwenye mashindano hayo.
  5. A

    Feza Girls yaongoza kitaifa matokeo ya kidato cha sita 2017

    Feza Girls yaongoza kitaifa Matokeo ya kidato cha sita 2017 Kwa ufupi Feza GirlsMarian BoysKisimiriAhmesMarian GirlsMzumbeSt Marry Mazinde JuuTabora BoysFeza Boys10.Kibaha Zanzibar. Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza...
  6. A

    Wanafunzi wa Feza waliochukua medali Marekani watua bungeni Dodoma leo

    Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto) akiwa kweny picha ya pamoja na washindi wa Medali za Dhahabu katika mashindano ya Kimataifa ya Mazingira na Sayansi yaliyo fanyika hiv karibun nchin Marekani.kushoto ni Mkurugezi wa Shule za feza Mr Ibrahim yunus kulia Mhe Hawa Ghasia anayefata...
  7. A

    African carribean self help organization wapendekeza kuwepo free visa kwa waafrica

    Wakizingumza kwenye mdahalo Ulioandaliwa na taasisi ya kilimanjaro dialogue jana mmoja wa waafrika anayeishi marekan Bin-Butuakwa, alisema kuwa kungekuwepo na free visa kwa waafrika wanaishi nje ya nchi pindi wapohitaji kutembelea ndani ya Afrika maana wanarudi nyumbani kwao, kujifunza Tamaduni...
  8. A

    Wahitimu shule za Feza washerekea Eid na watoto yatima

    Wahitimu wa Shule Feza (Feza Alumni) wakijumuika katika Chakula na Michezo Mbalimbali kweny sikukuu ya Eid jana wakati walipowatembelea Watoto hao kituo cha Chakuwama hili kuwafariji Watoto. pia wahitimu hao walipata Fedha hizo kwa kuwapaka Hinna watu na kuhuza Ubuyu sehem mbalimbli hapa Nchin
Back
Top Bottom