Recent content by ashely

  1. ashely

    GE2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Yaani sasa hivi CCM ndo wana play defensive game,kweli mungu ameleta,Tundu,,THE GAME CHANGER,,dk zote 90 yuko golini anashambulia tu,kweli nimeamini maisha ya duniani hakuna ajuae kesho..
  2. ashely

    African Satellite World and Sat Gear

    sisi wakazi wa gmboto na chanika elimu ya satellite dishes inapatikana wapi na sisi tujifunze..tutalipa ada..
  3. ashely

    African Satellite World and Sat Gear

    kwa sisi tunaoishi gmboto na chanika,kama tunataka kujifunza elimu ya satellite dish,inapatikana wapi?
  4. ashely

    Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

    pia ana cheap labour kuliko marekani,kwa hiyo manufacturing cost inakuwa low,hivyo makampuni ya USA yalitengeneza faida kubwa pia...
  5. ashely

    Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

    kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa russia,cuba & north korea wame mgeuka mchina,na sasa ni marafiki wa Marekani?
Back
Top Bottom