Unahitaji Kuelimishwa!
Kwanza, Serikali haijatoa fedha zozote kwa ATCL baada ya kujitoa from South Africa. Pili, Serikali inabidi itoe maelzo ya jinsi gani imeisaidia ATCL financially, badala ya kuja na lugha ya kutoa siku saba. Tatu, Mataka ndiyo mtendaji mkuu wa ATC, Board members na...