Recent content by Ashampoo burning

  1. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Sababu dini opium according to Karl max .... sehemu yenye dini maamuzi yenye logic na fact hayana nafasi .maamuzi hutolewa kiimani zaidi kuanzia family level hadi national level.... maamuzi hayo yanaweza kuwa madogo madogo kama kudharau science na technology ... baada muda nchi...
  2. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri (kilaza) ni rahisi sana kudanganywa

    Mbona una majungu sana
  3. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

    Hilo jengo ni moja ya majengo mazuri sana ila linapata sana hasara sababu posta now biashara imepungua
  4. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Pia historia inaonesha hakuna mtu aliweza kutawala kwa kutumia jeshi na polisi kwa muda mrefu endapo hatakuwa popular support ya wananchi .... kutawala kwa kutumia jeshi na polisi ni gharama sana
  5. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

    Mi nilijua tu wahuni watamchukua it's over sasa hivi hao huwa hawarudii mara mbili wakirudia mara mbili its over imeniuma sana Najua sasa hivi huyo mzee harudii tena ndo basi tena
  6. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Kaisairi hakikuwa cheo ni jina kingereza ceasar.... Rome walikuwa na emporer mtawala .. Rome iliwapata emporers wenye majina ya ceasar kama wawili hivi kama sijakosea... hope nimekusaidia next time usitumie neno kaisari kama cheo...
  7. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa,ujuzi au ufahamu na hili anisaidie

    Kutoka mtandaoni wamesema hivi 📌 Muhtasari wa Dalili Zako Umeeleza kuwa: 1. Mguu wa kushoto tu unaouma na kukosa nguvu unapow TEMBEA tu Ukikaa: hakuna maumivu Ukisimama: hakuna maumivu Ukikimbia: hakuna maumivu Ukiendesha baiskeli: hakuna maumivu Unapotembea: mguu unakua mzito kuinua...
  8. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tunawahitaji hawa vijana kwenye kujenga Tanganyika mpya

    Nilisoma nae minaki mwaka 2011 hadi 2013 advance akiwa pale minaki boyz alikuwa akisoma egm kumbuka enzi hizo minak kama sio kichwa huji shule nzima tulikua tuna division 1 form 4 kwa hiyo micah kichwani zipo fuvu lipo so kuja tu pale enzi ili hashiria u r greateness Tuendelee Alikuwa...
  9. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Taliban wapiga marufuku vitabu vyote vilivyoandikwa na wanawake

    Wewe soma quran ins sema nini kuhusu wanawake kuwa viongozi inakataa
  10. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Tumekuwa zile nchi za kijinga tunazo somaga kwenye magazeti na very soon tabia ya kuto jibu hoja ya msingi na kukimbilia udini ... tunaenda kupigana vita ya udini muda sio mrefu... tusipoangalia tanzania itaachwa haina hata mia ....uchumi utayumba mno
Back
Top Bottom