Recent content by Asha Hodhesh

  1. A

    Hii imekaaje ndugu zangu?

    Shemegi anataka kuzima taa tu huyo hana jengine
  2. A

    Matatizo ya nyonga na mifupa

    Napenda kuwashuku sana wale wote walionipa ushauri ama kunielekeza dawa ya maumivu ya nyonga nimefata ushauri niliopewa na sasa hali yangu imeimarika namshukuru mungu. Mbarikiwe. Ubarikiwe sana dada yangu @ faizafoxy kwa kujali tatizo langu. Ahsante
  3. A

    Kuumwa na nyonga

    Ahsante sana dada Faiza kwa ushauri wako nitaufanyia kazi inshaallah na nitakupa matokeo. Mungu azidi kukubariki
  4. A

    Maumivu ya Nyonga na kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa mwanamke...

    Doctor, Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 38 nimeolewa na nimejifungua mtoto wa kwanza nikiwa na umri wa miaka 29 na baada ya miaka saba nilijifungua mimba ya pili watoto wawili pacha. Katika kipindi cha ujauzito nilianza kusumbuliwa na maumivu ya nyonga na mgongo hadi nikajifungua ile hali...
  5. A

    Faida ya kula Korosho kwa Afya yako

    Thank you for the wonderful class
Back
Top Bottom