Recent content by aseenga

  1. aseenga

    Thadeus Mkamwa aeleza kuhusu mabadiliko ya mtazamo katika hoja anazozitoa Mrishi Gambo

    Kwa siku kadhaa zilizopita, tumemshuhudia mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akichangia hoja bungeni. Hoja zake zimeibua hisia tofauti kati ya wengi kutokana na sababu mbalimbali. Moja ya sababu hizo inaonekana ni mabadiliko ya ghafla ya mtazamo wake kiutendaji kabla na baada ya...
  2. aseenga

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Eeeh nimekua mtaka tena [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. aseenga

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Ungekua unamjua hata kwa kupitia vyombo vya habari tu nadhan ungeelewa tunachoongelea.
  4. aseenga

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Majaliwa anaweza akawepo pia, matamanio yangu ni kumuona rc wa simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu za nchi yaani VP na PM
  5. aseenga

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Najua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa. Lakini pamoja na hayo yote natamani sana kumuona RC wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa...
  6. aseenga

    Nahitaji mashine ya kuchambua mchele kuutenganisha na uchafu

    Habari. Naitaji kama kuna mwenye taarifa za upatikanaji wa mashine za kutenganisha mchele na uchafu mwingine haswa mawe. Naitaji kujua yafuatayo; Kuna kampuni inayouza hizo mashine tanzania? Gharama yake ipo kiasi gani? Je kuna saiza za namna gani ya hizi mashine? Naombeni msaada wenu wadau...
  7. aseenga

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Shukran kiongoz. Na nadhan hata capital yake ni ndogo kuliko hata pesa nilionayo
  8. aseenga

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Nashkuru sana kiongoz. Umenipa nguvu zaid ya uthubutu
  9. aseenga

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Aaah hio kaka nilishaifanya sana tangu 2015 ina usumbufu mwingi vijana wa sa hapo serious so hela unayokua umeitegemea inakua tofaut.
  10. aseenga

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Possibly yes ila sio lazima mangi chief. Nataka nitoke nnje ya box kidogo
Back
Top Bottom